Breaking News

Your Ad Spot

Aug 12, 2010

MFANYAKAZI WIZARA YA HABARI, UTAMADUNBU NA MICHEZO, SOZY NGATE KWENDA MASOMONI CHINAUKUA CHINA



Balozi Mdogo katika Ubalozi wa China  nchini Tanzania  FU JIJUN
 (kulia) jana akimkabidhi fomu ya nafasi ya masomo nchi za nje( skolaship )   Mfanyakazi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Sozy Ngate ( kushoto) katika  Ubalozi wa China jijini Dar es Salaam. (katikati ) ni Mkurugenzi wa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari  ,Utamaduni na Michezo Prof. Hermas Mwansoko. Ngate atakuwa nchini China kwa muda wa mwaka mmoja kusoma Shahada ya Uzamili (masters) ya Utawala.


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages