Breaking News

Your Ad Spot

Aug 26, 2010

PINDA AMWAKILISHA JK SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA BURUNDI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Spika wa Bunge la Burundi,Pie Ntavyohanyuma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura, ambako leo atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za kumwapisha Rais wa Nchi hiyo, Pierre Nkurunzinza.



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi wa Burundi waliofika kwenye uwanja wa ndege Bujumbura, ambako leo atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za kumwapisha Rais wa Burundi, Pierre Nkurnzinza. Kulia ni Spika wa Bunge la Nchi hiyo Pie Ntavyohanyuma na wapili kushoto ni mkewe Tunu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages