Breaking News

Your Ad Spot

Sep 18, 2010

AJALI YA MKOKOTENI NA GARI DAR,

Trafiki akitafakari njia ya kutatua msongamano wa magari, uliotokea katika makutano ya barabara ya Morogoro na Msimbazi, eneo la Fire mjini Dar es Salaam, baada ya mkokoteni kugongana na gari katika eneo hilo , leo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages