Breaking News

Your Ad Spot

Sep 18, 2010

UZINDUZI KAMPENI ZA URAIS ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal alipowasili katika Uwanja wa Mshikamano kibanda maiti mjini Zanzibar leo kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais wa Zanziabar kwa tiket ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein, akizangumza na Rais wa Zanzibar Mhe. Aman Abeid karume, walipokuwa kwenye Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti mjini Zanzibar leo ikwa ajili ya Uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM (Amour Nassor -VPO)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages