Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu, wakizungumza na Ombeni Sefue (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Marekani nje ya Ofisi za Umoja wa Mataifa, Mwanaidi Maajar, baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa JFK jijini New York leo mchana kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Millenia. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269