Breaking News

Your Ad Spot

Sep 19, 2010

MGOMBEA URAIS ZANZIBAR ANAPOSAKA KURA KWA VESPA

Mgombea urais wa Zanzibar wa Chama cha Wakulima (AFP) Said Soud, akiwa katika harakati za kampeni kwa kutumia usafiri wa pikipiki kama alivyokutwa na mpiga picha Martin Kabemba, eneo la  Darajani mjini Zanzibar leo.

"Hata nyinyi mnaosoma magazeti, nawaombeni kura zenu" ni kauli ya mgombea urais wa Zanzibar wa chama cha wakulima (AFP) Said Soud (kushoto) alipofika kwenye duka linalouza vitabu na magazeti la Masomo Book Shop mjini Zanzibar leo.(Picha na Martin Kabemba).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages