Breaking News

Your Ad Spot

Sep 19, 2010

DK SHEIN AUNGURUMA PEMBA

Mgombea urais wa Zanzibar  kwa tiketi ya CCM, Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohammed Shein, akisalimia wana-CCM alipowasili leo katika Uwanja wa Gombani, Pemba, kuzindua kampeni zake za urais.

Dk. Shein akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Gombani, Pemba, jioni hii.

2 comments:

  1. Kwa mtizamo wangu, kisiasa wenzetu Zanzibar wamepiga hatua kubwa sana mbele, nahisi ni kutokana na `kukomaa kisasa baada ya kujifunza kutokana na makosa'
    Sio lazima tujifunze kutokana na makosa, lakini tunaweza kujifunza kutokana na wenzetu, kwa mfano tumeona kuwa `mseto' katika uongozi unafaa, sasa kwanini tuache mapaka `moto uwake' ndio tuzime...hilo tu kama dodosa yangu

    ReplyDelete
  2. ASANTE KWA MAONI, WENGINE MNASEMAJE?

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages