Breaking News

Your Ad Spot

Oct 18, 2010

HAKI YA USHIRIKISHWAJI WENYE ULEMAVU

MKALIMANI Lameck Karugendo (kushoto) akimtamfisiria kwa kumpapasa katika kiganja, Mwenyekiti wa Chama Cha Viziwi Tanzania (TASODEB), David Shaba,  mwenye ulemavu wa uziwi, katika semina ya kuelimisha wadau mbalimbali kuhusu umuhimu wa amani na utulivu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu. semina hiyo iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) ilifanyika katika ukumbi wa DICC mjini Dar es Salaam,  mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages