Breaking News

Your Ad Spot

Oct 28, 2010

JAMAA AKIMSHABIKIA MGOMBEA WA CCM RAIS KIKWETE HUKU AKIWA NDANI YA FULANA YA CUF

JK dole tu, hakuna mwingine!  hivi ndivyo alikuwa akisema, jamaa huyo, huku akiwa ameegemea picha ya mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais Jakaya Kikwete, eneo la  Soko la Darajani, ambalo ni moja ya maeneo yenye msisimko wa masuala ya siasa za Zanzibar, cha kuvutia zaidi huyu jamaa alikuwa ametinga t-shirt ya CUF.

1 comment:

  1. Ndivyo inavyotakiwa, usilogwe na vyama, angalia yupi au nini kaongea na umpongeze, hata sio chama chako..chama sio dini!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages