Breaking News

Your Ad Spot

Oct 19, 2010

JK KIPENZI CHA WATU, WAZIMA KWA WALEMAVU, WAKUBWA KWA WATOTO

MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi, Bakili Mbunda baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni , Liwale mkoani Lindi, jana. (Picha na Freddy Maro)

1 comment:

  1. Aaah, ni kweli kwa muda huu kila mtu atamfikia na kumweleza shida zake, siku ikifika kama atapita, jamaa zake hawatakupa nafasi hata ya kumsogelea...unaweza ukavunjwa ugoko!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages