Breaking News

Your Ad Spot

Oct 19, 2010

SAKATA LA WASTAAFU WA ILIYOKUWA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI LAMLIPUKIA MLAKI

MWENYEKITI wa Kamati ya Wastaafu  wenye madai wa iliyokuwa Jumua ya Afrika Mashariki, Nathaniel Mlaki, akisindikizwa na polisi kwenda kizimbani  katika Mahakama ya Hakim Mkazi,Kisutu, Dar es Salaam, kujibu kesi ya kufanya vurugu, katika barabara ya Kivukoni,  mjini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.(Picha na Chachandu Daily Blog). 
MWENYEKITI wa Kamati ya Wastaafu  wenye madai wa iliyokuwa Jumua ya Afrika Mashariki, Nathaniel Mlaki, akipanda 'defender'  la Polisi kwenda rumande, baada ya  kushindwa masharti ya dhamana.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages