Breaking News

Your Ad Spot

Oct 21, 2010

WACHINA WANAPOSAKATA KIDUKU

MADAKTARI wa Meli ya Jeshi la Ukombozi la China iliyowasili nchini juzi, Liu Sen na Wang Zhen (kulia) wakishiriki kucheza 'kiduku' na Mwalimu wa michezo wa Shule ya Msingi Mirambo, Lugalo, Dar es Salaam, Rabia Moyo kabla kundi la madaktari hao kutoa huduma bure ya upimaji kinywa na macho katika shule hiyo, jana. (Picha na Chachandu Daily) 
MADAKTARI wa Meli ya Jeshi la Ukombozi la China iliyowasili nchini juzi, Liu Sen na Wang Zhen (kulia) wakishiriki kucheza 'kiduku' na Mwalimu wa michezo wa Shule ya Msingi Mirambo, Lugalo, Dar es Salaam, Rabia Moyo kabla kundi la madaktari hao kutoa huduma bure ya upimaji kinywa na macho katika shule hiyo, jana. Kulia ni mwanafunzi wa shule hiyo, Halima Bashir. 
Halafu upimaji  ukaendelea 
Naam, askari wa Jeshi la ukombozi la Chinma akimpima macho askari wa Jeshi la Ulinzi wa Tanzania  (JWTZ) siku hiyo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages