Breaking News

Your Ad Spot

Oct 19, 2010

MELI YA HOSPITALI YA CHINA YATIA NANGA DAR, KUANZA KUTOA HUDUMA ZA MATIBABU BURE KESHO

Meli hiyo ikiwa imetia nanga katika Bandari ya Dar es Salaam leo 
ASKARI wakiwa nje ya meli na kushoto kwenye ngazi ni mtangazi wa Kituo cha Televisheni cha Stars Tv 
Eneo la wazi la kuweza kutua helikopta kwa ajili ya kupeleka huduma nje ya meli 
Sehemu ya ndani ya meli hiyo, kwenye ngazi ni mwanadishi/mtangazaji wa Star Tv ambaye ni miongoni mwa waandishi wa habari waliotembelea meli hiyo leo
Mtaaluma Kibuda wa Tanzania Daima akipozi na mwandishi wa Star Tv katika meli hiyo 
Sehemu ya wodi ya wagonjwa mahututi (ICU) ndani ya meli hiyo 
'Makamnada wa kike' wanaofanyakazi katika meli hiyo ambao pia ni madaktari wa magonjwa mbalimbali 
MGANGA Mkuu wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ya Lugalo, Meja Jenerali Salim Salim, akionyeshwa machine ya upimaji  magonjwa ya moyo iliyomo katika meli ya China, alipotembelea meli hiyo leo, katika Bandari ya Dar es Salaam, ambako imetia nanga ikiwa na madaktari watakaotoa huduma ya matibabu kwa wagonjwa mbalimbali. Kushoto ni Kamanda wa meli hiyo, Bao Yuping na kulia ni Balozi wa China hapa nchini Liu Xinsheng. 

MKUU wa Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, Meja Jenerali Salim Salim, akipewa zawadi maalu na Kamanda wa Meli ya China, yenye vifaa na madaktari wa kutoa huduma za matibabu,Bao Yuping, alipotembelea meli hiyo leo katika Bandari ya Dar es Salaam. (Picha zote na Chachandu Daily Blog)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages