Breaking News

Your Ad Spot

Oct 30, 2010

VIJANA KAZINI KATIKA OFISI YA UENEZI AFISI KUU YA CCM KISIWANDUI

Mwandishi Mwandamizi wa Uhuru FM, Antar Sangali na mtaalam wa masuala ya IT, Haji Mrisho katika ofisi hiyo leo. 
Sangali wa  Uhuru FM (kushoto) na Yunus Sose na Suleiman Nzalro wa Habari Leo wakiwa katika ofisi hiyo. 
OFISA wa Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar, Juma Mohamed akiwa ofisini kwake leo hii mjini Zenzibar 
Mhariri wa Uhuru na Mzalendo, Noor Shija akielekezana jambo na mwakilishi wa Uhuru FM, Zanzibar, Mariam Mziwanda, katika ofisi hizo. 
Maraiam Mziwanda

2 comments:

  1. Kaka mkubwa jina la huyo mwandishi wa Habarileo umelikosea kidogo, huyo jamaa mimi namjua anaitwa Selemani Nzaro, ni mcheshi na mwadilifu, usilichafue jina lake, Asante.

    ReplyDelete
  2. Haji Fakih Haji12/1/10, 8:21 AM

    Waandishi wa Uhuru waandike habari mchanganyiko sio habari za CCM tu, kwani chama hicho hakipati changamoto kutoka upinzani? Tuzione hizo changamoto.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages