Breaking News

Your Ad Spot

Nov 24, 2010

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI KUTAJWA LEO

ILE kiu ya  kutaka kujua nani watakuwemo katika Baraza jipya la Mawaziri la awamu ya pili ya miaka mitano ijayo ya Rais Jakaya Kikwete, waliyokuwa nayo wengi hasa wafuatiliaji wa masuala ya siasa za Tanzania itakatika leo kwa kuwa ndiyo siku ambayo Rais Kikwete atatangaza Baraza lake jipya.
     Kulingana na taarifa zilizopo Rais Kikwete atatangaza baraza hilo leo saa nne asubuhi.

1 comment:

  1. Twalisubiri kwa hamu, mmmh, idadi yao zidisha mara mashangingi..au yanaitwaje sikuu hizi mara gharama ya kila moja, jumlisha gharama zao kama mshahara, nk nk....mmmh! Twataraji makubwa kutoka kwao ili kufidia hayo mgharama!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages