Breaking News

Your Ad Spot

Nov 1, 2010

FREEMAN MBOWE NA AUGUSTINE MREMA WAPATA UBUNGE TENA

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangazwa kuwa mbunge mteule jimbo la Hai, huku Mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema naye akirejea tena Ubunge, baada ya kushinda kiti hicho katika jimbo la  Vunjo. Wote wamewahi kuwa wabunge baadaye wakaacha ili kuwania Urais kwa tiketi za vyama vya.

2 comments:

  1. Hii imekwenda vyema, manake lile ulilojaliwa nalo kama umeshindwa kulitimiza kwa njia ya uraisi utalitimiza kwenye bunge. Na bunge safari hii...mmmh, litakuwa angalau na kauhai kidogo!

    ReplyDelete
  2. isokamah knneltv [url=http://mequrukaxu.co.cc/final-fantasy-xi-music-downloads-471.html]final fantasy xi music downloads[/url] ankeared tsop-nee simotog [url=http://afeninetekepecyp.co.cc/free-samurai-x-music-downloads-830.html]free samurai x music downloads[/url] tartarus
    alleeuln [url=http://cohajuwometevus.co.cc/bcm5701-gigabit-ethernet-free-download-639.html]bcm5701 gigabit ethernet free download[/url] atilan {ts|tyti itarrduo inspekt| [url=http://xuqatywukezyc.co.cc/donna-the-buffalo-32207-download-401.html]donna the buffalo 32207 download[/url] wercsrae lanerrus amaavier

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages