Breaking News

Your Ad Spot

Nov 2, 2010

WAFUASI WA VYAMA VYA UPINZANI WAKIWEMO WA CUF WAANDAMANA ZANZIBAR KUMPONGEZA USHINDI WA DK. SHEIN

WAFUASI wa vyama vya upinzani wengi wao wakiwa ni vijana, wakiwemo wa CUF,  wameamua kuungana na wale wa CCM, kushangilia ushindi wa Rais mteule wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.
     Uungaji mkono huo mefanyika kwa maandamano katika mitaa mbalimbali ambapo walionekana wakiwa wamechanganyika waliovaa sare au kuwa na bendera au alama zozote za vyama vya  kaibu vyote vilivyoweka wagombea katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili iliyopita, vikiwemo ,  CCM, CUF, NRA,Chadema na NCCR Mageuzi.
   Maandamano hayo ambayo hawakuwa rasmi lakini yaliyokusanya mamia ya watu, yalikuwa na baadhi ya waandamanaji waliovaa sare mchanganyiko za vyama, kama kuvaa T.shit ya CCM na kofia ya CUF, au fulana ya CUF na kofia ya CCM.
    

1 comment:

  1. Huu ndio mwanzo mwema kwao, hatimaye wamegundua mdudu mtu wao, kuwa sio wao, bali walikuwa wakitumiwa!
    Na ule usemi wa ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana...

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages