Breaking News

Your Ad Spot

Nov 19, 2010

JK ASAKATA MUZIKI NA MREMA, ASALIMIWA KWA HESHIMA NA SHIBUDA DODOMA

"Hongera Mheshimiwa Rais" Mbunge wa Maswa Magharibi(CHADEMA) Mh.John Shibuda akimsalimia Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuwapongeza wabunge iliyofanyika katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana usiku.(Picha na Freddy Maro) 
Mwenyekiti wa CCM Rais Dr.Jakaya mrisho Kikwete akilisakata rumba na Mwenyekiti wa TLP ambaye pia ni mbunge wa Vunjo Agustine Mrema wakati wa hafla ya kuwapongeza wabunge iliyofanyika katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana usiku. Kulia ni Mwimbaji wa Kundi la Jahazi Modern Taarab,Mzee Yussuf. (picha na Freddy Maro)

2 comments:

  1. Ndiyo ukomavu wa kisiasa huo.

    Nimeipenda sana blogu yako na tayari nimeshaiongeza kwenye blogu ninazozifuatilia.

    ReplyDelete
  2. Asante kwa maoni na kwa kuamua kuipenda kazi hii ya mikono niliyopewa na Mungu, Karibu sana

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages