.

LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI: WADAU WANA MENGI YA KUSEMA.....

Dec 1, 2010

WAKATI leo Dunia inaadhimisa (siyo kusherehekea), siku ya Ukimwi Duniani, bado kuna changamoto kadhaa ambazo klazima zitatuliwe ili iweze kupatikana nafuu, ahueni au salama kabisa katika kukabiliana na janga hilo la ukimwi. Moja ya changamoto hizo ni kama ujumbe huu katika bango

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช