.

HAPPY BIRTHDAY MAMA SALMA KIKWETE; RAIS AMPIGIA GITA KUMPONGEZA

Dec 2, 2010

RAIS Jakaya Kikwete akilicharaza gita wakati alipowaongoza wanafamilia yake, nyumbani kwake kumpongeza mkewe Mama Salma katika sherehe yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 47 jana. 
                  Kisha Rais akamlisha keki mkewe (Picha na Freddy Maro)

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª