Breaking News

Your Ad Spot

Dec 2, 2010

HAPPY BIRTHDAY MAMA SALMA KIKWETE; RAIS AMPIGIA GITA KUMPONGEZA

RAIS Jakaya Kikwete akilicharaza gita wakati alipowaongoza wanafamilia yake, nyumbani kwake kumpongeza mkewe Mama Salma katika sherehe yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 47 jana. 
                  Kisha Rais akamlisha keki mkewe (Picha na Freddy Maro)

1 comment:

  1. Happy birthday mama yetu...mungu akupe afya na baraka wewe na familia yako!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages