Mabondia Fransic Cheka (Kushoto) na Mada Maugo wakichuana vikali katika mpambanao wao uliofanyika juzi jioni, kuukaribisha mwaka mpya, katika ukumbi wa PTA, Dar es Salaam. Katika pambano hilo la raundi nane, Cheka alishinda kwa pointi .
Hii ni katika moja na cheche zilizoonyeshwa na Fransic Cheka (Kulia) wakati akichuana na Mada Maugo wakati wa mpambano huo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269