Maya Bashir, akiwa nyumbani kwao Mbezi Beach, Dar es Salaam, muda mfupi kabla ya kuanza sherehe yake ya kuzaliwa. Desemba 31, 2010 alitimiza miaka mitano. Sherehe imefanyika leo. Ilishindikana kufanyika Desemba 31, 2010, kwa kuwa Baba Maya ambaye alikuwa mgeni rasmi katika sherehe hiyo alikuwa kazini.
Akitafakari wakati akikata keki yake, taratiiibu
Halafu akamlisha dada yake, Halima Bashir ambaye ataaza form one, 2012.
Ikawa shangwe kwa waalikwa, ambao ni waheshimiwa watoto wenzake na wakubwa wachache sana.
Maya Bashir akipata msosi baada ya kupooza koo kwa keki
Waheshimiwa watoto wakipata msosi
Halafu akamalizia kwa Chiazzzzzzzzzzzzz
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269