Breaking News

Your Ad Spot

Jan 2, 2011

ZANTEL WALA CHAKULA NA WATOTO KUUKARIBISHA MWAKA MPYA

MKurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya simu za mkononi Zantel  Mayank Roy (wa pili kushoto ) na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Matukio wa Kampuni hiyo, Wiliam Mpinga (kulia) wakila chakula cha pamoja na watoto yatima wa kituo cha  Kids Care cha Bagamoyo mkoa wa Pwani, chakula hicho kiliandaliwa maalumu na kampuni hiyo kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya Dar es salaam mwishoni

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages