Breaking News

Your Ad Spot

Jan 5, 2011

DK SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI OFISI YA MLAKA YA UVUVI WA BAHARI KUU TANZANIA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Jengo la Afisi ya Mamlaka ya Uvuvi wa Bahari Kuu Tanzania, huko Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana,ikiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 47 ya  Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages