Mh.Jaji Mkuu alipotembelea Mahakama ya Kisutu jana, pia alitembelea Mahakama Kuu na Divisheni zake (Mahakama ya Biashara, Mahakama ya Ardhi na Mahakama ya Kazi) kujua matatizo mbalimbali kabla ya kuanza utendaji wake kama Jaji Mkuu mpya.
Your Ad Spot
Jan 5, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269