Breaking News

Your Ad Spot

Jan 6, 2011

MAANDAMANO YA CHADEMA ARUSHA:UVCCM WATAHARUKI NA KULAANI

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Benno Malisa, akizungumza na waandishi wa habari, leo, wakati akitangaza umoja huo kulaaani maadmano yaliyofanywa na CHADEMA mjini Arusha jana na kusababisha taharuki kubwa baada ya polisi kuyatawanya.. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa UVCCM, Ridhiwan Kikwete na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum kupitia UVCCM, Zainabu Kawawa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages