Breaking News

Your Ad Spot

Jan 6, 2011

SIMBA YALALA 1-0 KWA JK RUVU KATIKA ROBO FAINALI YA U20

Abdallah  Seseme wa Simba (kushoto), akichuana na Frank  Domayo wa JKT Ruvu, timu hizo zilipomenyana leo kwenye uwanja wa Karume, Dar es Salaam, katika robo fainali ya Ligi ya Vijana chini ya miaka 20 (U20). Simba ikalala kwa bao 1 tu kwa bila. 
Edward Christopher wa Simba akijaribu kumkata 'kwanja' mshambuliaji wa JKT Ruvu, Madenge Ramadhani katika mechi hiyo. 
JKT Ruvu wakishangilia mwisho wa mechi, baada ya kutoka kifua mbele kwa kuhjipatia bao 1-0 dhidi ya Simba 
Mashabiki wakitazama mpira huku wakiwa nje ya uzio kutokana na kuzuiwa kuingia ndani kwa sababu uwanja huo hauna eneo la kukaa mashabiki.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages