Msafara wa Rais wa Zanzibar, Dk. Shein ukiingia kwenye sherehe hizo.
Rais Jakaya Kikwete akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye sherehe hizo
Dk. Shein akikagua gwaride
Askari wakionyesha ukakamavu wao wakati wa gwaride
Ilikuwa shughuli pevu kiasi cha wengine kuangusha kofia na kuendelea mbele
Viongozi mbalimbali wakuu katika sherehe hizo
Kijana aliyedondoka ghafla uwanjani akishuhudia sherehe hizo akisaidiwa na watu wa msalaba mwekundu
Wananchi mashuhuri waliohudhiria sherehe hizo
Naona kuna viongozi mbalimbali na wananchi mashuhuri tu kwenye hii hafla. Wananchi wa kawaida hawakuhudhuria?
ReplyDeleteWananchi walikuwepo, lakini haikuwa rahisi kuwafahamu kwa ni wananchi wa kawaida, maada wengi katika majukwaa ya kawaida, walionekana kuvaa sare za vyama vyao; kwa mfano wakati sherehe hizo zilikuwa ya wananchi wote bila kujali itikadi za vyama, makundi makubwa yaliyoonekana ni yaliyokuwa katika nguo za CCM na lingine za CUF, ndiyo sababu sikuona umuhimu wa kuwataja kama wananchi.
ReplyDelete