Eneo la Kambi yalikolipuka makombora na mabomu hayo
Kioo cha gari kikiwa kimevunjwa eneo la Ukonga, Magereza
Nyumba ambayo imesambaratishwa na bomu katika eneo la Ukonga Mzambarauni, na kusababisha vifo vya watu watano
Baadhi ua majeruhi wakiwa katika hospitali ya Temeke
Majeruhi aliyefikishwa hospitali ya Temeke akiwa hoi, akisaidiwa
Familia zikikimbia makazi yao kutoka maeneo ya Majohe
ASKARI wa JWTZ akimwelekeza njia salama ya kupita, mkazi wa Majohe aliyekuwa akihama makazi yake, aliyepita eneo la kambi ya Ukonga yalikolipuka mabomu
Mtu akiamua kumchuna na kumchanja nyama, kwa ajili ya kitoweo ng'ombe aliyekufa baada ya kulipukiwa na mabomu hayo akiwa katika zizi, eneo la Ukonga, Madafu
Watu wakiwa wamechoka kiasi cha wengine kupiga miayo walipopumzika eneo la Madafu, Ukonga, baada aya kutembea umbali mrefu wakikimbia makazi yao, kuhofia mabomuAmiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukagua eneo la tukio, katika kambi ya JWTZ Ukonga yalikolipuka mabomu hayo
Waziri wa Ulinzi Dk. Hussein Mwinyi akizungumza na Mkuu wa JWTZ, Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu wa Jeshi hilo, Abdurahman Shimbo, baada ya Rais kuondoka eneo la tukio
Watu wakidandia lori baada ya kukosa usafiri walipokuwa wakikimbia makazi yao
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269