Breaking News

Your Ad Spot

Feb 13, 2011

SIMBA KUKWAANA NA COMORO LEO

TIMU ya Simba inashika dimbani leo kukwaana na timu ya Comoro kwenye Uwanja wa Taifa, mjini Dar es Salaam, katika mechi inayotarajiwa kuwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki.
  Katika dalilhii za awali kwamba huenda Simba ikaibuka na ushindi katika mechi hiyo, leo mvua imenyesha kama dalili za neema.

1 comment:

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages