Breaking News

Your Ad Spot

Mar 4, 2011

FAINALI ZA MICHUANO YA NDONDI TAIFA YAFANYIKA LEO DAR

Bondia Dogo Mussa wa Ilala (kushoto) akipambana na bondia wa Ngome, Salehe Omari, katika  fainali za michuano ya ngumi za taifa, leo kwenye Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Omari alishinda wa kwa pointi 4-1.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages