Breaking News

Your Ad Spot

Mar 3, 2011

TEKNOLOJIA YA KUKAGUA UBORA WA PIKIPIKI YATUA DAR

KAMPUNI ya Kishen Enterprises Ltd kwa kushirikiana na Kampuni ya Safe Wheels Tecnologies Ltd, imezindua utaratibu wa  kuhakiki ubora pikipiki zake iwanda wa Wizara ya Viwanda na Biashara,  Eline Sikazwe (kushoto), akipata maelezo ya jinsi vifaa vunavyoungwa hadi kukamilika pikipiki, wakati wa uzinduzi wa teknolojia hiyo, leo. Anayempatia maelezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kishen na Safe Wheels, Rajen Solanki (wapili kushoto).
Mfanyakazi wa kampuni ya Kishen, akionyesha jinsi pikipiki inavyopimwa ubora ikiwa kwenye mashine maalu iliyopo, Buguruni, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages