Breaking News

Your Ad Spot

Mar 2, 2011

SHY ROSE AIMWAGIA CHANETA MSAADA WA SH. MILIONI 1.1

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Tanzania (CHANETA), Shy-Rose Bhanji ametoa jumla ya sh. milioni 1.1 kwa ajili ya kuwapatia mshindi wa kwanza hadi wanne, wa Ligi ya daraja la pili ya netiboli, iliyomalizika mwezi uliopita mjini Morogoro.   Timu zilizopata ni mshindi wa kwanza Mbeya sh. (500,000), Mshindi wa pili Polisi Arusha (Sh. 300,000),Mshindi wa tatu, Polisi Pwani (sh. 200,000) na JKT Ruvu iliyopata sh. 100,000 kwa kushika nafasi ya nne. Pichani, Shy Rose, akimkabidhi fedha hizo, Mwenyekiti wa CHANETA Taifa, Anna Bayi, Mjini Dar es Salaam, LEO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages