Breaking News

Your Ad Spot

Mar 15, 2011

POULSEN ATANGAZA LEO KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KITAKACHOMENYANA NA AFRIKA YA KATI

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa Jan Poulsen, akizungumza na waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania ( TFF) wakati wa kutangaza kikosi cha wachezaji wataocheza na timu ya Afrika ya Kati, katika michuano ya kuwania kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2012, zitakazofanyika Ikweta ya Guinea na Gabon. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirkisho hilo, Boniface Wambura. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages