Breaking News

Your Ad Spot

Mar 15, 2011

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI NA SIKU YA MAJI DUNIANI KUANZA KESHO: KUFANYIKA KITAIFA MWANZA


Waziri wa Maji, Profesa, Mark Mwandosya (kushoto), akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Injinia Christopher Sayi, kabla ya kuzungumza na waandishi wa habari leo, makao makuu ya Wizara ya Maji, Ubungo, Dar es Salaam, kutangaza kuanza kwa maadhimisho ya wiki ya maji na siku ya maji Duniani, yanayoanza kesho. Kwa mujibu wa Profesa Mwanadosya Maadhimisho hayo Kitaifa yanafanyika mkoani Mwanza. Katikati ni, Mwenyekiti wa Maalizi ya Maadhimisho hayo, Lista Kongola.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages