Breaking News

Your Ad Spot

Mar 15, 2011

MAMBO YA VODA USIPIME

Mtaalamu wa bidhaa Vodacom Tanzania Yvonne Maruma akionyesha hatua zitakazotumika katika kutuma sms kwenda namba 15544 na kujishindia milioni 3 kila siku katika promosheni ya kuwa milionea kila siku kwa muda wa siku 70 jumla ya shilingi Milioni 210 kushindaniwa. Katikati   ni Ofisa bidhaa na huduma Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi, na Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa kampuni hiyoMatina Nkurlu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages