Breaking News

Your Ad Spot

Mar 20, 2011

JK AKUTANA NA MKAPA DOM, AHUTUBIA VIONGOZI WA KATOLIKI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais mstaafu awamu ya tatu Benjamin William Mkapa wakati wa ibada ya kumweka wakfu askofu mpya wa jimbo Katoliki la Dodoma Mhashamu Gervas John Nyaisonga iliyofanyika mjini Dodoma leo(picha na Freddy Maro).  
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake kwa viongozi wa dini wakati ibada ya kumsimika Askofu mpya wa jimbo Katoliki Dodoma Mhashamu Gervas John Nyaisonga iliyofanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba,mjini Dodoma leo (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages