Breaking News

Your Ad Spot

Mar 10, 2011

JW KUFANYA MAZOEZI YA NDGE ZA KIVITA DAR NA PWANI KESHO

       YAOMBA WANANCHI WASIHOFU
KAMANDI ya ulinzi wa anga ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kesho itafanya mazoezi ya kurusha ndege za kivita katika maeneo ya Dar es Salaam na Pwani.
       Taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano, Makao Makuu ya JWTZ, Upanga mjini Dar es Salaam, ilisema, mazoezi hayo yataanza saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana na kwamba mazoezi hayo ni ya kawaida hivyo wananchi wasiwe na hofu yoyote.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages