Breaking News

Your Ad Spot

Mar 11, 2011

MIRIAM LUKINDO KUZINDUA VIDEO MPYA; 'NI ASUBUHI'

MWANAMUZIKI wa muziki wa Injili Miriam Lukindo, akizungumza na waandishi wa habari, katika mgahawa wa Hardees mjini Dar es Salaam, leo, kutangaza uzinduzi wa video yake ya kwanza, ya Asubuhi, Aprili 10, mwaka huu, katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Kushoto ni Meneja wa  Haak Neel Production (T) Ltd, John Momandi na kulia ni Meneja wa msanii huyo, Humphrey Maziba.
---------------------------------
TAARIFA YA MTAYARISHAJI

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages