Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekerege, akimkabidhi cheti cha ubore wa pikipiki za Pekon, Mkurugenzi mtendaji wa kampuni inayotengeneza pikipiki hizo, Andony Guo, wakati kampuni mbalimbali zilipokuwa zikikabidhiwa vyeti kama hicho, kwenye ofisi za TBS, Ubungo, Dar es Salaam.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269