Breaking News

Your Ad Spot

Mar 17, 2011

WAZIRI MMOJA WA JK ADAIWA KUJIUZULU

Habari zilizoifikia blogu hii zinadai kwamba mmoja kati ya mawaziri 'jembe' wa katika Baraza la Mawaziri la Rais Kikwete amejiuzulu. Hata hivyo Blogu hii bado haijaopata uhakika wa jambo hili, lakini kwa kuwa limevuma sana, si vibaya wadau mkajua. Endapo habari za kuthibitisha au kukanusha habari hizi zitapatikana tutawajulisha (Picha ya Chachandudaily.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages