.

BAADHI YA YALIYOJIRI IBADA YA IJUMAA KUU LEO

Apr 22, 2011

Muumini wa Kikristo akitungikwa msalabani kama Yesu katika igizo lililofanywa na Vijana wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Azania Front, Dar, wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu  kwenye hilo leo
Vijana hao wakiigiza  Yesu alivyokuwa na wanafunzi wake kabla ya kuteswa hadi kutungikwa msalabani, wakati wa ibada ya Ijumaa Kuu ya Psaka kwenye Kanisa la KKKT Azania Front Dar es Salaam
Nyomi ya waumini katika katika la KKKT Azania Front wakati wa ibada hiyo
Waumini katika kanisa la Presbyterian, Upanga Dar es Salaam
Mzee Malecela na Mkewe  Anne Kilango Malecela wakipokewa kwenye kanisla la Presbyterian, Upanga Dar es Salaam.
Mwanamake akisubiri wanunuzi wa mishumaa nje ya Kanisa la St. Joseph Dar es Salaam
Kijana wa Kiislamu, Ramadhani Mzinga, akisubiri  kuwauzi CD za nyimbo za Injili waumini waliokuwa wakiingia katika  Kanisa la Presbyterian Upanga, kwenye ibada hiyo leo.

3 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช