.

BINTI DANDE ABATIZWA LEO KATIKA MISHAMRA-SHAMRA YA JUMATATU YA PASAKA

Apr 25, 2011

PAROKO wa Kanisa Katoliki la St. Peter, Oysterbay, Dar es Salaam, Joseph Mosha, akimshikisha mshumaa wa kumuangazia amaishani  mtoto Sharon Dande, baada ya kumbatiza  leo katika kanisa hilo.
PAROKO wa Kanisa Katoliki la St. Peter, Oysterbay, Dar es Salaam, Joseph Mosha, akimbatiza kwa maji mtoto Sharon Dande, leo katika kanisa hilo.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª