.

JK ATOA MBUZI WA PASAKA KWA VITUO VYA YATIMA

Apr 21, 2011

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo ametoa zawadi za Sikukuu ya Pasaka kwa vikundi mbalimbali vya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu.Pichani Kaimu mnikulu Alhaji Kassim Mtawa akimkabidhi zawadi ya mafuta ya kupikia,mchele na mbuzi kwa Sista Mary Joseph wa kituo cha kulelea  watoto yatima cha Kijiji cha Furaha Mbweni.Halfa hiyo ya kukabidhi zawadi hizo kwa niaba ya Mheshimiwa Rais ilifanyika ikulu jijini Dare s Salaam leo asubuhi.Wengine katika picha ni Sista Catherine Swai na Sister Ann Fridah(picha na Freddy Maro).

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª