.

MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA HUU KUONDOKA NA GARI GX 100 LA SH. MILIONI 13

Apr 21, 2011

MENEJA Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),  Teddy Mapunda, akitangaza udhamini wa SBL wa Sh. miliono 80, kwa Chama Cha Waandishi wa habari za Michezo (TASWA) kwa ajili ya maandalizi ya sherehe za mwanamichezo bora wa mwaka, leo katika hoteli ya Movenpick, Dar es Salaa.  Akizungumzia sherehe hiyo, Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto (wapili kushoto) alisema zitafanyika  Mei 6, mwaka huu katika hoteli hiyo, na mshindi wa kwanza atajitwalia gari aina ya GX 100 la sh. milioni 13

Gari aina ya GX 100 (pichani) lenye thamani ya sh. mil. 13 taslimu ambalo shindi wa kwanza katika kinyang'anyiro cha mwanachizo bora ataondoka nalo, Mei 6, mwaka huu. (Picha: Michuzi Blog)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª