Breaking News

Your Ad Spot

Apr 21, 2011

TANZANIA NA UAE WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO

Balozi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Waziri wa Mambo ya Nje wa  Falme za Kiarabu (UAE), Shaikh Abdullah bin Zayed Al Nahyan, wakitia saini mkataba wa kuanzisha Tume ya Pamoja ya Ushirikiano baina ya nchi hizo, mjini Dubai  ambako Waziri Membe  alihudhuria Mkutano wa kupanga mikakati ya kukabiliana na maharamia wanaoteka meli baharini. Wengine ni Balozi wa Tanzania UAE, Mohammed Maharage (wa pili kulia nyuma), na Baraka Luvanda ambaye ni Ofisa kutoka Kitengo cha sheria, Wizara ya Mambo ya Nje. Picha Kutoka Michuzi Blogu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages