.

FARAJA KIHONGOLE WA CHANEL TEN AFUNGA NDOA BAB-KUBWA

Apr 30, 2011

Mwandishi Mwandamizi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel 10, Faraja Kihongole, leo amefungua ukurasa mpya katika kitabu cha maisha yake, kwa kufunga ndoa au pingu za maisha na kipenzi chake wa moyo Projestus Rwegarulila. Ndoa hiyo adhimu ilifungwa  mida ya alasiri katika Kanisa la St. Peter , Oysterbay jijini Dar es Salaam. Zifuatazo ni baadhi ya picha za yaliyojiri wakati wa kufungwa ndoa hiyo.
Akila pozi na mumewe baada ya ndoa kufungwa.
Faraja akiingia Kanisani na Mumewe kufunga ndoa hiy
Faraja na mumewe wakiwa na vyeti vyao baada ya kukabidhiwa

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª