.

TANZANIA YALALA 3-1 KWA UGANDA

Apr 30, 2011

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 23 (U23), Amour Suleiman (kulia) akipambana na beki wa timu ya umri huo ya Uganda Oweni Kasule, aliokuwa katika harakati za kusaka bao, timu hizo zilipomenyana leo, katika mechi ya michuano ya All Africa Game, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tanzania ililala kwa mabao 3-1

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช