.

MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA MBEYA ATIMKIA CCM

Apr 8, 2011

MWENYEKITI wa CCM, Rais  Jakaya Kikwete, akiwatambulisha rasmi wanachama wapya wa CCM, aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Sambweli Shitambala (kulia) na alikuwa aliyekuwa Katibu Mwenezi chama hicho Wilaya ya Ileje mkoani humo, Henry Kayuni , baada ya wote wawili kutangaza kukihama chama chao na kujiunga na CCM, katika hafla   iliyofanyika kwenye  viwanja vya Makao Mkuu ya CCM mjini Dodoma, leo. (Picha na Freddy Maro).

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª